Social Icons

My activities

Karibu katika ukurasa huu, Tunaamini ya kwamba utajifunza, utaelimika na utatumia kile utakacho kipata. Haya ni Baadhi ya mambo ambayo yatakuwepo katika Tovuti yetu.

  • Kuelimisha jamii katika kubuni na kuchukua mawazo ya zamani na mapya na kuyafanyia kazi.
  •  Kuiunganisha jamii katika vyanzo vya rasilimali na kuwekeza.
  •  Ushauri katika mipango ya kiuchumi na kijamii katika kilimo,  ufugaji, ajira, uwekezaji na michezo.
  • Ushawishi wa kubadili hulka za mazoea na kuwa wajibu katika afya na chakula

No comments:

Post a Comment

Asante kwa ku Comment yako ujumbe wako ni muhimu